iqna

IQNA

Dar al-Ifta
Dar al-Ifta ya Misri
TEHRAN (IQNA)- Huku Wakristo wakikaribia kusherehekea uzawa wa Nabii Isa AS (Yesu) katika siku ya Krisimasi na pia mwaka mpya Miladia, Taasisi ya Dar al-Ifta ya Misri imesema inajuzu au ni sawa kwa Waislamu kuwapongeza wasiokuwa Waislamu kwa munasaba wa siku kuu zao na kwamba hilo ni kwa mujibu wa mafundisho ya dini tukufu ya Kiislamu.
Habari ID: 3471773    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/16